Luke 6:27-28

Wapendeni Adui Zenu

(Mathayo 5:38-48)

27 a “Lakini nawaambia ninyi mnaonisikia: Wapendeni adui zenu. Watendeeni mema wanaowachukia. 28 bWabarikini wale wanaowalaani, waombeeni wale wanaowatendea mabaya.
Copyright information for SwhNEN